- Villa 8 na zina chumba mbili (4/6 watu)
- Villa 1 na zina chumba tano (8 watu)
Kila Villa ina mfanyi wake wa kusafisha nyumba zaidi ya hayo nguo inaweza kufuliwa ukiulizia; mapumziko ina baadhi ya vifaa
vingine kama vijana wawili kutunza mabwawa ya kuogelea na kusimamia viti na magodoro, wa usalama wakati wa mchana na wawili wakati wa usiku; kuna mahala pakuegesha magari, hatuna mgahawa,
wote villas na jikoni yao wenyewe.
Tunaweza kutoa kwa gharama za ziada: uhamisho kutoka uwanja wa ndege wa Mombasa hadi Malindi, mpishi, magari ya kukodisha, tunafanya
safari ya kuona wanyama.